KWA WANAOTARAJIA KUOA AU KUOLEWA


Kama Una Mpango Wa Kuoa Au Kuolewa Naomba Utuandikie Walau Sababu Tano Tu [5] Zinazokupelekea Uoe Au Kuolewa… Hakikisha Unatuandikia Hapa Na Usisome Kimyakimya Na Kuingia Mitini Kama Haujaoa Au Kuolewa… Aina Ya Sababu Zilizokupelekea Kuoa Au Kuolewa Zitaamua UIMARA AU UDHAIFU WA NDOA YAKO, KUDUMU AU KUVUNJIKA KWAKE… Haya Tuandikie Sababu Zako Tano [5] Hapa Zitakazokupelekea Kuoa Au Kuolewa… Ukishindwa Tupe Walau Tatu [3].
KARIBU
Lets Find The Purpose And Foundations Of The Future Lasting Marriages!!

Unataka Kuzijua Sababu Za Kwangu??
1.Mungu Ameniumba Mwanaume… Ninaamini Kuna Ubavu Uliondolewa Kwangu Na Kumuumba Mke… Muda Na Majira Sahihi Yakifika Nitaunganishwa Naye.

2.Sikuumbwa Towashi Wala Si Towashi Wa Kufanywa Na Wanadamu… Ni Haki Yangu Kwa Mtaji Huu Kuwa Mme.

3.Kusudi La Mungu Maishani mwangu Limegawanyika Kwenye Hatua [Stages] Na Kuna Hatua Ambayo Itanilazimu Kuwa Na MKE Ili Kuongeza UFANISI Na KURAHISISHA Utekelezaji Wa Kusudi Hilo.

4.Mungu Amelimimina Pendo Lake Ndani Yangu Kupitia Roho Wake Mtakatifu; Nahitaji Kuliweka Kwenye Matendo Na Si maneno matupu… Nitahitaji Mke Wa KUMPENDA KAMA KRISTO ALIVYOLIPENDA KANISA. Lakini Hii Itatumika Kuupima Uaminifu Wangu Na Uwajibikaji Maana Tunajua “ASIYETUNZA WA NYUMBANI MWAKE AMEIKANA IMANI NA NI MBAYA KULIKO ASIYEAMINI”… Nitahitaji Mke Na Familia Ili Nidhihirishe Kwa Vitendo UHALISIA WA BIBLIA NA NENO LA MUNGU.

5.NAMPENDA SANA MKE WANGU MTARAJIWA KIASI KWAMBA NAISUBIRIA KWA HAMU HIYO 26/11/2016… My 27th Birthday And Wedding Day.

Nimekupa Mwanga, Sasa Ni Zamu Yako… Kwanini Unataka Kuoa Au Kuolewa??
Walau Sababu 3 tu….
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
Mecktilder Mchomvu

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
6 comments on “KWA WANAOTARAJIA KUOA AU KUOLEWA
 1. mtepageofrey@gmail.com says:

  Barikiwa sana mtumishi Wa Mungu! Mm Sijaoa ila mpaka sasa sijaanza kuona lengo LA kuoa! Kwani bado natafuta maisha(mwanafunzi udom) ila nazani nitahiji kuoa bdy ili nipate familia! Na vilevile kupata msaidizi ktk maisha kama biblia isemavyo na mwisho ili nisomeke vizuri na jamiii yangu! Barikiwa sana mtumishi! Sent from my Huawei Mobile

 2. gerson devisy says:

  ameeeen ..mtumish masomo yako yaninisadia san nkumbke tena kuntumia

 3. jane says:

  nimefuatilia sana mafundisho yako nayameniponya kabisa na kuniokoa barikiwa sana ila na wadogozangu hawajaoa wawili wakiume na wawili wakike naona wakiwa na urafiki na wewe watakaa vizuri ili pia waokoke maana natamani sana waokoke ubarikiwe maana naona huduma yako ni kubwa sana .amen amen amen amen

 4. Dr August says:

  ninatarajia kuoa kwa sababu 4 zifwatazo
  1.peke yangu siwezi kuongezeka ..neno linasema zaeni mkaongezeke mkaitiishe dunia
  2.Kutumikia taasisi ya ndoa(kupanua wigo wa utumishi)
  3.kuwa wawili,wakati wakukaa peke yangu umekwisha…..Heri wawili kuliko mmoja ……
  4.kufanikiwa zaidi-ni imani yangu nitafanikiwa zaidi nitakapo anza maisha ya ndoa

 5. Steve landry says:

  Sababu:
  1. Mimi ni mwanaume na natamani kuheshimu neno la Mungu lisemalo Mume na mke wataacha wazazi wao nakuwa mwili mmoja.

  2. Kuoa itanisaidie kuachana na maisha ya kuwaka tamaa kila wakati mana ntakuwa na wangu ndani.

  3. Nampenda sana huyu msichana ata kama yeye anaona simstaili kwa neema ya Mungu najua atakuja kunikubalia na kuwa na mimi.

  4. Sipendi kuzaa ovyo ovyo watoto nje ya ndoa.

  5. Nahisi nikuoa itakua chanzo cha kuishi baraka na utukufu za Mungu kwangu. Pia kuwa na maisha ya raha tele kwani nitakua nikishinda uhasharati.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: