KWA WAOAJI

Kwa Waoaji“Ninajua Kati Ya Tabia Ya Mungu Ni KUCHUNGULIA KWENYE MOYO WA MTU, Kisha AKIONA HAJA YA MOYO WAKO ILIYO SAWA NA MAPENZI YAKE Anachukua Hatua KUKUPA HAJA YA MOYO WAKO…. Kwa Mtaji Huu, Naamini Kabisa Kwamba Mungu ALIUONA UHITAJI WA ADAMU Kuhitaji MSAIDIZI TENA WA KUFANANA NAYE, Ambaye Atakuwa NYAMA KATIKA NYAMA ZAKE NA MFUPA KATIKA MIFUPA YAKE… Adamu Alikuwa Na PICHA YA MWANAMKE NDANI YAKE [Aina, Tabia, Hata Rangi Na Mwonekano] HATA KABLA MUNGU HAJAMTENGENEZEA MKE Na Ndiyo Maana ALIPOTOKA USINGIZINI [kwenye Operation] BILA KUAMBIWA NA YEYOTE ALIWEZA KUMTAMBUA MKEWE…. Akajua Kwamba NI NYAMA KATIKA NYAMA ZAKE NA MFUPA KATIKA MIFUPA YAKE, NA AKAMWITA MWANAMKE… Katika Hili HAKUKUWA NA KUBAHATISHA: Adamu Alijua Na Kufahamu Kuhusu MKEWE [Aliyemtarajia] Kiasi Kwamba Alipozinduka Na Kumkuta Pale HAIKUMPA SHIDA KUMFAHAMU…. Kila Nikiona VIJANA WENZANGU WA KIUME “HAMJUI” Mke Mnayemhitaji, NABAKI NA MSHANGAO; Ndani Yako TAYARI Unayo Picha Ya MKE Unayemhitaji… HUO NDO MTAJI WA KWANZA NA WA MUHIMU…. Kuanzia Hapo Unaweza Sasa KUANZA KUOMBA MBELE ZA MUNGU Ukimsihi AKUKUTANISHE Na Huyo MWANAMKE WA NDOTO ZAKO…. Kama HUNA PICHA KABISA NDANI YAKO; MUNGU HANA PA KUANZIA KUKUSAIDIA… Mungu Anashughulika Na Yale UYAONAYO NAFSINI MWAKO… If You Have The Inner Picture Of Her, You Can Have Her…. Kama HAKUNA, Basi HAKUNA”
What Do You Say Mecktilder Mchomvu?? I Believe It Is A Divine Solution,
Hekima Ya Mwalimu,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: