MUNGU ALINIFUNDISHA MAPEMA….

“Mungu Alinifundisha Mapema Kwamba NENO LANGU LINALOTOA PEPO Linaweza Pia KUONDOA UGONJWA KWENYE MWILI WA MTU Na Linaweza Pia KUMFANYA KIWETE ATEMBEE, KIZIWI ASIKIE, KIPOFU AONE Au TUMBO TASA KUZAA… Na Hata Nilipochukua HATUA YA IMANI Kuamuru Mambo Yatokee Na Hayakutokea, NILIPORUDI KWAKE Kuuliza KWANINI HAIKUWEZEKANA Aliniambia SI MANENO TU YANAYOFANYA KAZI Bali Ni MANENO YENYE NGUVU [UPAKO] NDO YANAWEZA KUGEUZA CHOCHOTE [Kwakuwa Yanakuwa Na Back Up YA MUNGU ROHO MTAKATIFU]… Akanirudisha Kwenye DARASA LA MAOMBI NA KUFUNGA [Kiwanda Kinachosukuma NGUVU ITENDAYO KAZI NDANI YA MWAMINI] Pamoja Na SHULE YA NENO LAKE [Kiwanda Cha Kufundisha LUGHA SAHIHI YA KUTUMIA Wakati Wa MAHITAJI]… Na Ni MANENO HAYA HAYA Na MFUMO HUUHUU Unaoleta PESA MIFUKONI NA KWENYE AKAUNTI ZANGU…. Ni MFUMO HUU HUU [Umemleta Na Utamthibitisha] HATA MKE WA MAISHA YANGU… Maisha Ni Mchezo Wa KANUNI NA SHERIA FULANI Ambazo UKIZIJUA TU: MCHEZO UMEISHA”
Nimekupa Siri, Tumia Muda Kuchambua Cha Kukuvusha,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: