MUNGU HANA DEMOKRASIA


“Mungu Hana Demokrasia… Akisema, NENO LAKE Ndo Kauli Ya Mwisho; NENO LAKE Ndo SHERIA… Hakuna Wa Kutoa Maamuzi Au Mawazo Tofauti…. Kitu Pekee Kilichopo Ni KUTUMIA NENO LAKE JINGINE “Kusemezana Naye [To Reason Together]” Halafu HOJA ZAKO ZIKIWA ZENYE NGUVU Anatumia NENO LAKE Kutengua AZIMIO HUSIKA… NENO LAKE LADUMU MILELE MBINGUNI… PASIPO NENO LAKE HAKIKUFANYIKA CHOCHOTE KILICHOFANYIKA NA HAKITAFANYIKA CHOCHOTE PIA KESHO”
Demokrasia Iliyopo Ni Uhuru Wako Kuamua Na Kuchagua KUTII CHA MUNGU Au KUTOTII… Ila Hiyo Demokrasia Pia ITAKULETA HUKUMUNI Ili UVUNE ULICHOPANDA!!
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
One comment on “MUNGU HANA DEMOKRASIA
  1. Alex Bubelwa says:

    Ni kweli Demokrasia iliyopo kwa Mungu ni kuamua kulitii au kutokulitii Neno. Lakini kwa uamuzi wowote utakaochagua hakuna namna ya kuepuka matokeo yake!

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: