PANDA MBEGU YA MANENO NA NENO

https://i2.wp.com/columban.org/wp-content/uploads/2010/06/deer.jpg
“Ni Vema Ujue Kwamba, “MUNGU ALIIAMURU NCHI [ARDHI] Itoe MIMEA [Uoto Wa Asili] Tena Bila Kwenda Kupanda MBEGU ZA MIMEA Husika… MBEGU PEKEE Aliyokuwa Nayo Mungu Ilikuwa Ni NENO LAKE… Mwisho Wa Siku ARDHI [NCHI] Ilitoa Hiyo Mimea KWA NENO LA MUNGU…. Ndivyo Ilivyo Kwako: Una WAZO LA BIASHARA, MAONO AU NDOTO FULANI…. Usisubirie Upate MTAJI Au Kila RAW MATERIAL [Malighafi] Ipatikane, HAPANA… Tumia NGUVU YA MANENO YAKO Ikiambatana Na AHADI YA NENO LA MUNGU KINYWANI MWAKO Halafu UKIAMINI KWAMBA UNAYOYASEMA YATATOKEA NA KUWA HALISI KWA MAJIRA NA NYAKATI SAHIHI; HAKIKA YATATUKIA NA UTAYAONA… Ni Kweli Kwamba PESA HUNA Lakini MANENO YAKO YA USHINDI NA MAMLAKA Pamoja Na NENO LA MUNGU Ndani Yako VINATOSHA KUUMBA DUNIA YAKO… Kama BABA YAKO WA MBINGUNI Alivyofanya [KUYASEMA YASIYOKUWEPO KANA KWAMBA YAMEKUWEPO] Na Wewe Endelea Kupanda MBEGU YA MANENO Kuhusu UNACHOKITAKA…. Unataka MKE WA AINA FULANI Sema Sana Na Kwa Ujasiri Kuhusu Huyo MANZII…. Unataka MME MWAJIBIKAJI NA BABA BORA, Endelea KUMPANDIA MBEGU YA MANENO YA IMANI KILA SIKU… Mwisho Wa Siku UTAYAPATA UYASEMAYO”
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: