TEKNOLOJIA

TEKNOLOJIA

TEKNOLOJIA

Kadri Muda Unavyokwenda Na Nyakati Zinabadilika. Mambo Yalivyo Leo Hayatakuwa Hivyo Miaka 5, 10, 20 Ijayo.
Usipofanya Bidii Kwenda Na Kasi Ya Mabadiliko Katika CAREER Yako, Hakika Utapitwa Na WAKATI Na Hautahitajika Kwenye SOKO.
Miaka 20 Iliyopita Hapa Tanzania Kwenye Sekta Ya Mawasiliano Na Teknolojia Usingewaza Au Kufikiria Kwamba TTCL Na POSTA Wangepata WAPINZANI Na Kufikia HATUA YA KUFA [Kama Ilivyo Leo].
Ungesema Nini Kuhusu BARUA NA STEMPU?? Ungesema Nini Kuhusu VIBANDA VYA SIMU ZA MKONGA?? Ungesema Nini Kuhusu EMS Kama Njia Ya Haraka Ya UTUMAJI NA UPOKEAJI Pesa Na Vifurushi??
Waliokuwa Kwenye Mashirika Yale Walijiona WAKO MAHALI SALAMA Na WAMEFIKA… Miaka 20 Leo, WANALIA… MAISHA YAMEBADILIKA!!
Umejiandaaje Kuikabili Miaka 5, 10, 20 Ijayo RAFIKI UNAYESOMA UJUMBE HUU??
Umeweka NJIA NA VYANZO MBADALA VYA UCHUMI Au UNANG’AA SHARUBU TU??
Unasubiri Na Wewe SYSTEM IKUTEME Kama POSTA NA TTCL??
Nikupe Siri, “MAGEUZI NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA HAYATAKOMA DAIMA MPAKA YESU ANARUDI… KUNA MAMBO AMBAYO MACHO HAYAJAWAHI KUONA WALA MASIKIO KUSIKIA… UGUNDUZI NA UBUNIFU HAUTAKOMA”
Umejipangaje Hiyo KAMPUNI Au SHIRIKA Lako LIKIPITWA NA WAKATI Kama Yaliyotokea SHIRIKA LA RELI??
Una PLAN B Ya Maisha?? Au Utabaki Kuandamana Kutafuta MAFAO Kama WAZEE WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI??
Biblia Inatufundisha “KUJIWEKEA AKIBA WAKATI WA MAVUNO” Ili Utakapokuja “UKAME” Uwe Vizuri.
KAMA HAUJUI MIAKA 5, 10 AU 20 IJAYO MAISHA YAKO “UMEYAPANGILIA NA UNAYAPELEKA WAPI” Hakika Utakuwa MTUMWA Wa “WALIOJIANDAA”
Afadhali Yangu Mimi “MTU WA INJILI” Nikilinda “UHUSIANO WANGU NA MUNGU” Nikawa Na “GUARANTEE” Ya “HEKIMA NA UPAKO” Nitaendelea “KUNG’AA” Ila Nimewapa Tahadhari “WAFANYAKAZI [WATUMWA WA WAAJIRI]” Tunakokwenda SI KUZURI… JIANDAENI… UHARIBIFU USIJEWAKUTA GHAFLA!!
Hekima Inaongea,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: