VYOTE UNAVYOVIONA


“Vyote Unavyoviona Leo VILIKUWEMO NDANI YA ADAMU Japo Adamu Hakupata Nafasi Kuviona… Ndani ya Adamu Ndiko Walikokuwa WANADAMU WOTE Ambao Wamekuja KUBUNI, KUTENGENEZA NA KUFANYA HIVI UNAVYOVIONA… Ndani Ya Adamu Na Wanae [Wanadamu] MUNGU Amewawekea UWEZO NA NGUVU YA KIMAONO [Picha Ya Ndani] Ya Kuweza KUONA YASIYOKUWEPO; KUYATAMANI [To Desire] Na Kisha KUYAFANYA YATOKEE Kama WATAZINGATIA KANUNI RAHISI ZA MAISHA…. Hii Ina Maana KILA PICHA ULIYONAYO NDANI YAKO [Vision] NI UWEKEZAJI WA MUNGU MAISHANI MWAKO Ambao UNAWEZA KUWA KWELI NA HALISI…. Nitashangaa Endapo UTAKATA TAMAA NA KUFA NA HIYO HAZINA KUBWA ULIYONAYO…. Mwaka 2010 Nilijiwekea LENGO NA NDOTO YA KUWA MWALIMU BORA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA TOVUTI, Na NINAAMINI SINA MPINZANI Hata Kama HAKUNA TUZO Au UTAMBULISHO MAALUM…. Niliona Nilichonacho NDANI YANGU; Nikakimwagilia [KUKIBORESHA KWA KUWA MTU WA MAARIFA NA KUTAFUTA MAARIFA MENGI] Na NILIPOKUWA NA DEPOSIT YA KUTOSHA Nikaanza KIDOGO KIDOGO KUWAMEGEA…. Najua Niko Mwanzo Lakini Kuna Siku HAYA NINAYOANDIKA NA KUFUNDISHA YATAKUWA MFUMO NA MWONGOZO WA MAISHA…. Kila Mtu Ana Kitu, Swala Ni Je, UNAKIACHILIA KITOKE NDANI YAKO DUNIA YAKO IKIONE Au Unasingizia VIKWAZO…. Ninaishi NDOTO YANGU… Wewe Je??”
Mwl. D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: