ZUNGUMZA KAMA MUNGU

Dunia

Dunia

“Wakati Wa Uumbaji; Kuna Wakati GIZA Lilikuwa LIMETANDA Na Yeye [MUNGU] Alitaka NURU… Lakini Cha Ajabu HATUMUONI MUNGU AKIZUNGUMZIA GIZA LILILOTANDA Bali Alikaza KUZUNGUMZA KILE ANACHOTAKA KITOKEE Na Si Kile KINACHOPINGANA NA ANACHOKITAKA… Kadri Unavyoongea Kuhusu TATIZO LAKO Kuliko UNACHOHITAJI Linakuwa Kubwa Na Kuota Mizizi…. Kadri Unavyozungumza Kuhusu MAPUNGUFU NA MADHAIFU YA MMEO/ MKEO Badala Ya Yale Unayataka Kwake Na KUYAUMBA KWA MANENO NA VITENDO, Unaivunja Ndoa Yako KWA MIKONO YAKO MWENYEWE…. Kadri Unavyozungumza Kuhusu UGONJWA ULIONAO Kuliko YESU NA DAMU YAKE ILIYOKUPONYA KWA KUPIGWA KWAKE Hakika UTAKWENDA KABURINI Huku Unasema MUNGU ATANIPONYA…. Uwepo Wa Tatizo Au Kizuizi Si RUHUSA Ya KUTANGAZA Hilo Kuliko Unachokitaka…. Mfalme Sauli Na Askari WALIKAZANA Kuongea Kuhusu SIFA NA UBORA WA GOLIATI Wakawa MATEKA WAKE Mpaka Daudi Alipokuja KUBADILI LUGHA YAO Na Kuzungumza Kuhusu MUNGU WA MAJESHI YA ISRAELI ALIYOYATUKANA…. Wale Wapelelezi 10 WALILETA RIPOTI MBAYA Na KUYASIFU MAJITU Kuliko AHADI YA MUNGU, WAKAFIA JANGWANI; Joshua Na Kalebu WAKAZUNGUMZA KUHUSU MUNGU NA AHADI YAKE WAKAVUKA NA KUINGIA NCHI YA MAZIWA NA ASALI…. Yesu Alisema, ‘UTAYAPATA UYASEMAYO’…. Ukisema AMANI, AMANI Kwa Wote Walio Karibu Na Kwa Walio Mbali…. MUNGU YUKO BUSY AKIUMBA MATUNDA YA KINYWA CHAKO”
Waswahili Walisema, “MDOMO HUKIPONZA KICHWA” Na “BORA KUJIKWAA MGUU KULIKO ULIMI”
Hekima Inaongea,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: