KWA VIJANA WA KIUME WENYE WACHUMBA NA WALIO KWENYE MAHUSIANO

https://i0.wp.com/fabfitover40.com/wp-content/uploads/2014/06/soft_love.jpg“Ambao tuna wachumba au tuko kwenye mahusiano, tafadhali hakikisha humtendi kwa hila huyo binti.
Usimtafutie sababu ya kumwacha.
Kama amekosea au amepungua mahali; Vivyo hivyo kama ulivyomfuata na kumuona kuwa yeye ndiye bora kuliko wote na kuanza naye safari ya kuelekea ndoa, ujue kuwa naye ni mtu na ana mapungufu kama uliyonayo (hata kama sisi hatuyajui)!
Biblia inasema tufanye kama Yesu: Tuwaoshe wake zetu/ wenza wetu watarajiwa kwa Maji ya Neno na kuondoa ndani yao na maishani mwao kila kisicho chema na kisichompa utukufu.
Kama ameokoka, moyoni mwake ana Roho wa Mungu anayekubali mabadiliko, ukilitumia Neno la Mungu kwa uhalali, kwa lengo la kujenga, kufariji na kuinua standard yake, Roho mtakatifu atakusaidia kum-program huyo mdada awe super unavyotaka.
Kumbuka hili: Picha ya mwanamke wa maisha yako unayo ndani yako, wewe ndiwe mwenye jukumu la kumfanya huyo mdada awe hivyo.
Usikimbie jukumu, mfundishe, muombee na muoneshe upendo.
Ukiamua kukimbiakimbia “utawamaliza” wanawake, kila mmoja ana strength na weakness zake. Jenga kuanzia kwenye strength zake, msapoti na kumtia moyo kwenye hicho, usiwe mtu wa kukosoa tu bali ukubali alivyonavyo na kumsaidia kuwa bora. ”
Nawasilisha,
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: