Nina USHUHUDA

 

Bwana YESU Asifiwe wapendwa!Nina USHUHUDA!
Nilienda hospital week iliyopita jumatatu kilinitokea kitu kama uvimbe maeneo ya tumboni upande wa kulia. nilipofika hospital doctor akaangalia na kuniambia kuwa huo uvimbe ni dalili ya kansa ya matiti,kwa kweli nilikosa amani na kuwaza sasa kukatwa niliona kifo ndio kinanichukua kupitia hili tatizo. Nilipewa dawa za kutuliza maumivu na doctor aliniambia nirudi baada ya week moja. Lakini LEO hii muda wa saa kumi na mbili nilifanya maamuzi ya kumtafuta Mtumishi wa BWANA mwalimu Dickson ili aniombee.

Mwalimu alinifanyia maombi kwa kweli JIONI hii Uvimbe uondoke! Namshangaa huyu MUNGU kwa kweli mwalimu alipokuwa akiendelea kuomba uvimbe ulikuwa unayeyuka jamani! mpaka sasa hivi ninavyoandika ni KWAMBA HUO UVIMBE SIUONI! Umeondoka!,Namtukuza sana BWANA kupitia Mtumishi wake mwalimu Dickson nimepona. nilikuwa siwezi kulalia upande wa kulia, sikuweza pia kufanya kazi yoyote tangu week iliyopita nlikuwa naona kifo tu! Ahsante YESU,Mwalimu MUNGU azidi kukutumia!
(Neema Nyagawa)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo, ushuhuda

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: