Dhambi ni ugonjwa

https://i0.wp.com/christian-beliefs.info/wp-content/uploads/2014/04/No-Sin-Sign.gif“Dhambi ni ugonjwa kama magonjwa mengine ukipata tiba sahihi na stahiki unaponywa kabisa… Acha kusikiliza maneno ya wagonjwa wanaosema mtu hawezi kuishi duniani akawa mtakatifu… Hao ni wagonjwa, wanaumwa… Wakipata tiba kama tuliyopata sisi watageuza lugha yao… Dhambi gani inakutesa? Unaweza kuwa huru ukiamua kuyatoa maisha yako jumla kwa Yesu… Yesu Kristo ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu”
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo
2 comments on “Dhambi ni ugonjwa
  1. AMBWENE MWAKYOMA says:

    MTUMISHI NISAIDIE NAKWAMA SANA KIHUDUMA LA KUJIRIDHISHA NIMEKUWA NIKIMWOMBA MUNGU ANISAIDIE BADO UTAKUTA WIKI MOJA TU INARUDI TENA

  2. Gano Mwaibale says:

    SURE KABISA DHAMBI,, DHAMBI,,DHAMBI,,, NI UGONJWA KAMA MAGONJWA MENGINE

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: