Kunatofauti Kubwa

https://i2.wp.com/www.godisreal.today/wp-content/uploads/2013/09/jesus-christ8-720x420.jpg“Kuna tofauti kubwa kati ya wanaofanya vitu ili waonwe na kusifiwa na watu na wale wanaofanya vitu ili kugusa na kubariki maisha ya watu… Wanaotafuta sifa kwa watu wanacompromise na kuwaharibu watu kwa kutowaambia ukweli ili wasiwapoteze au wasichukiwe… Ila sisi tulioumbwa kugusa na kuyabariki maisha ya watu tutaisema kweli katika upendo wote, utaumia kwa muda na kuchukia lakini moyoni mwako utaliona pendo tulilobeba kwa ajili yako … Hatutafuti kupendwa na watu, hatujaja kupendwa bali tumekuja duniani kupenda wengine kiasi cha kutoionea haya kweli ili waliokusudiwa kugeuka wasipotee… Una Yesu moyoni ndugu au una like na ku coment tu, halafu mbinguni hujulikani? Yesu anataka kuyabadilisha maisha yako… Anataka kukupa nguvu ya kuishinda dhambi na kuishi maisha matakatifu”
Kama unamhitaji Yesu au msaada wa kuishinda dhambi, nipigie au nitumie ujumbe mfupi:
0655 466 675/ 0753 466 675
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: