Mungu wa Mataifa

https://i0.wp.com/cache.desktopnexus.com/thumbseg/163/163189-bigthumbnail.jpg“Mungu yuko kwenye program ya kuijaza mbingu kwa watu wa kila taifa, kila kabila, kila rangi, wasomi na wasio na elimu, matajiri na masikini… Jitahidi usikose mbingu maana tayari Yesu alishafia dhambi zako na kulipa gharama ya msamaha wako msalabani… Ni swala la wewe kusogea tu mahali ambapo Injili ya Kweli ya Wokovu inafundishwa na wanaoifundisha wanaiishi, kisha ukayatoa maisha yako kwa Yesu… Mbinguni kuna kadi ya mwaliko wa kuingia huko na kuishi na Yesu milele lakini unapaswa kuipokea kazi ya msalaba na kumruhusu Yesu akuokoe… Dini yako ni nzuri lakini hawana mbingu ya kukuingiza… Dhehebu lako ni zuri lakini halina mbingu ya kukupa, Yesu Kristo tu ndiye Njia pekee”
(Yohana 14:1-2,6 na Ufunuo 5:8-10).
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: