Ninao Ushuhuda

https://i2.wp.com/www.glorytogodonhigh.com/images/gallery/praying.jpgMorning LOD na kaka mkuu
mimi ninao ushuhuda ambao umenifanya kuwa na raha sana toka jana ucku

Ni hivi:
mama yangu alikuwa anasumbuliwa sana na maumivu ya miguu hospitali walimwambia ana ugonjwa wa baridi yabisi , sasa toka wiki iliyopita mkono ukaanza kumuuma sana kiasi kwamba hawezi kufanya chochote
jana nilipompigia simu akaniambia kwamba ameenda dispensary wakamwambia aende machame hospital kwa ajili ya x-ray maana maumivu hayo yamemsumbua kwa muda mrefu sana ni almost 27years kwa hiyo amekunywa vidonge vingi sana na havikumponya.

kwa kweli jana nilipoongea nae nilisikia kuugua sana nikawaza hivi ni kwa nini mama yangu anateseka kiasi hicho?
Roho mtakatifu akanikumbusha kuongea na mtumishi Mwl D.C.K nikamuomba amwombee mama yangu kwa simu moyoni mwangu nikiwa na Imani kubwa sana kwamba mateso kwa mama yangu mwisho wake umefika.
Namshukuru mtumishi alimpigia simu mama yangu akamuombea na toka hiyo ucku jana mama alipokea uponyaji, maumivu yametoweka kabisa na hata asubuhi hii nimeongea nae anasema hasikii maumivu popote yaani AMEPONA JUMLA. kwa kweli NIMEBURUDIKA sifa na utukufu ni kwa Mungu mbinguni Amen.
(Neema John)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in ushuhuda

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: