USHUHUDA!!!

https://i1.wp.com/www.disciplemagazine.com/images/photos/144/Article%20Photos/Glory.jpg

Namshukuru Mungu sana kwa maombi ya mwl Dickson

Mi nlikuwa sina kaz kwa muda mrefu kdg toka october last yr kuna company nlikuwa nafanya kaz ila ilkuwa kwa mkataba bac ilivofika 29 october nlipewa barua ya kucmamishwa kaz yaan ya kutoendelea na contract pale bac kile ktendo kiliniumiza sana sana bac nkawa nyumban kwa muda wote mpk ss asa kuna cku nlimfata mwl inbox nkamueleza kuwa mi cna kaz naomba unfanyie maomb na mim bac cku iyo nakumbuka mwl alitamka sana baraka ndan ila kwny group lingne la ladies of destiny bac cku zle nlijikuta kila atakachotamka nkawa napokea napokea thn automatic nkajikuta baada ya hapo npo happy sn. Na baadaye nlijkuta nna ujasir wa mtu mfano akiniulza khs kaz nlikuwa namjbu febr o next wk ntaanza na nlikuwa natamka tu ivo kla cku. Bac jpil nlivotoka church nkarud zng hm nkawasha cmu ili nptie msg baada ya kuwasha nkakuta msg mdg angu kantumia aksema boc wake anantafuta sn nlistuka kdg nkampgia nkamuulza anantafutia nn akasema ye hajui ila almcctzia sn nmtafute cku ile bac mdg angu akantumia numb ya boc wake alvontumia ckumpgia muda huohuo nkaanza kujzungusha tu ndan bac baada km ya dk kadhaa nkapgiwa cm na uyo boc wa mdg angu akajtambulsha pale akanambia kuna kaz company flan hv ipo posta unaweza fanya kaz nkamjbu ndio bac akanambia kesho sa tatu asub nmkute posta kwel jtatu asub nkaenda posta nkamit nae akanpeleka had iyo company nlivofka hapo nkawapa cv na vyet vyng kiukwel ckutegemea walvoona vyet n cv walshangaa na kufurah zaid walniulza hv vyote unajua nkawajbu ndio hawakuhamn wakanambia tukulpe sh ngap salary nkawajbu tu simpl yaan ile kias nlitamka tu bt nlihic watagoma kdg nn bt ckuamn nlivotamka tu wakajbu ok nkashangaa uyo boc akasema bac iyo utalpwa feb,march n april ila kuanzia may tutakuongeza lak na nusu hapo juu nliogopa bt moyon nkasema hakka uyu n Mungu. Bac tulvomalza hapo nkaambiwa kabla hujaondoka tunaomba upate lunch thn uondoke na cku iyoiyo nkatambulshwa kwa staff pale offcn na nkaambiwa jtatu ntaanza kaz rasm na nmepewa ktengo kzur kwakwel.

Glory to God
(Lilian wa Dar Es Salaam)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in ushuhuda
2 comments on “USHUHUDA!!!
 1. Gano Mwaibale says:

  HAKIKA MUNGU ANASIKIA MAOMBI YA WAMWAMINIO

 2. John Matiku says:

  Yesu akikupa kitu anakupa kitu kilicho bora(best quality)
  Hakuna ka Yesu!
  Mungu akubariki Mwl.Dick!

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
 • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: