Ushuhuda wa Anna Kanza

USHUHUDA BWANA YESU ASIFIWE: NINA KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU KWA WEMA,UPENDO NA FADHILI ZAKE KWANGU KILA IITWAPO LEO!! USHUHUDA; NAMSHUKURU MUNGU KWA UPONYAJI WAKE, KWANI NIMETESEKA KWA MAUMIV YA TUMBO LA UZAZI KWA ZAIDI YA MWAKA. NA NILIPOFANYIWA VIPIMO NA SPECIALIST WA WANAWAKE PALE ARGHAKAN HOSPITAL NIKAJIBIWA KUWA WAMEONA KUNA KAUVIMBE 2MM KATIKA UKUTA WA KIZAZI, NA HAKUNA DAWA ZAIDI YA PAIN KILLERS… NA KWAKUWA UVIMBE BADO MDOGO HAWAWEZI KUUONDOA KWANZA MPK UKUE..DAKTARI AKANISHAURI KUBEBA MIMBA HARAKA NDO USALAMA WANGU KWANI NAWEZA KUJA KUKOSA WATOTO KABISA.. KITI CHA KWANZA NILIAMINI KABISA MUNGU NDIO MWAMUZI WA KILA KITU KATIKA MAISHA YANGU HAWEZI KUKUBALI YATOKEE YOTE HAYO.. MAUMIV YALIKUWA MAKALI SANA NA YALIKUA YANAANZA MDA WOWOTE… ILA SIJAWAH KUTUMIA HATA PANADOL… JUMAMOSI KWENYE GROUP YA WHATSAPP TICHA ALITABIRI KWAMBA BAADA YA MIEZ 2 TATIZO LAKO LITAKUWA LIMEISHA; ALITABIRIA WATU WENGI, MIMI NIKASEMA “KUANZIA SASA TUMBO LANGU LIMEPONA, ILA NDANI YA MUDA MWALIMU ALIOSEMA NITAENDA KUFANYA TENA VIPIMO; LAKINI ILIPOFIKA USIKU WA MANANE KUAMKIA JUMA PILI YA TAR 18/01/2015 TUMBO LILIUMA NADHANI KULIKO LILIVYOWAHI KUNIUMA,,, NDIPO NILIPOMPIGIA MWALIMU DICK NA KUNIOMBEA: GHAFLA MAUMIVU YALIKOMA NA NIKAJISIKIA MWEPESI SANAAA NAMSHUKURU MUNGU SANAA KWA UPONYAJI WAKE AZIDI KUMBARIKI MWALIMU PIA. AMEN (Anna Kanza wa Dar es Salaam)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in ushuhuda

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: