Ushuhuda wa Engineer Jane Mdulla

SHUHUDA

Nilikuwa na addiction ya kula udongo tangu mwaka 2003 nilipokuwa mjamzito hali ambayo niliichukulia kawaida na haikunipa shida mwaka 2011 nikiwa mjamzito tena hapa nilikula udongo kwa kasi ya ajabu ilifikia nikija Mwanza ninanunua hata plastic kubwa la udongo napanda nalo ndege mpaka Mtwara ambako nilikua nafanya kazi. Sasa nilipoona shuhuda za wengine waliofunguliwa kula vitu kama udongo, mkaa, mchele mbichi, mabonge ya barafu nakadhalika, nikamtumia ujumbe Mwl kwamba na mimi nina hilo tatizo.

Tukawasiliana akaniambia ninao udongo pale nilipo? Nikanunua duka la jirani akaniambia nile nikaula akasema sasa tuombe ili hiyo hali iishe. Nilikua mbali na home kwangu nilikwenda kwa mama mkwe nikaona saa ya wokovu imefika nikatoka nikajifungia ndani ya gari akafanya maombi. Baada ya maombi akaniambia nile tena ule udongo uliobaki nikashindwa nikasikia ladha mbaya na ulimi ukawa unachoma nikatema. Tangu siku ile sijala tena udongo na wala sina kiu ya kuula tena. Namshukuru Mungu sana kwa kunitoa jumla kwenye addiction ya kula udongo. Nilikula zaidi ya miaka 10 nikafunguliwa kwa sekunde. Sifa na utukufu kwa Bwana Yesu.
(Engineer Jane Mdulla wa Mwanza)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in ushuhuda
One comment on “Ushuhuda wa Engineer Jane Mdulla
  1. John Matiku says:

    Hizo ndizo kazi za Yesu!

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: