Wokovu hapa Duniani

https://i0.wp.com/brandonchase.net/wp-content/uploads/2014/04/Good-Friday.jpg

“Si misumari iliyomshikilia Yesu Kristo msalabani bali UPENDO wake mkuu kwa mtenda dhambi mimi na mtenda dhambi wewe tupate WOKOVU hapa duniani sasa na kisha UZIMA USIO NA MWISHO pamoja naye mbinguni milele… Mtenda dhambi mimi nimeshaikubali sadaka aliyoitoa kwa ajili yangu… Nimeshampokea Yesu na kuokolewa…. Wewe unasubiria nini? Damu yake ya kukutakasa ilishamwagika kwa ajili yako zaidi ya miaka 2000 iliyopita… Ukiamua kuendelea na dhambi unajiua mwenyewe… Ukiamua kusogeza muda wa kuokoka unajipeleka Jehanamu mwenyewe… Unaonaje leo ukimrudia Yesu uokolewe? Unaonaje wewe uliyeokoka na kisha kurudi dhambini ukirudi leo kwa Yesu? Ni uamuzi wako”
Kama unataka kuokoka au kutengeneza na Yesu, nitumie meseji au nipigie:
0655 466 675
0753 466 675
(Au WhatsApp namba hizo)
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: