MUHIMU (FURSA)!

Map of DodomaNimekuwa nikienda Dodoma kufanya huduma kila wiki.
Na nimepata nafasi ya kuchunguza fursa za uchumi zilizoko kule ambazo zinaweza kutunufaisha in near future.
Mojawapo kati ya fursa nilizoona kule ni ARDHI NAFUU.

Kuna vijiji viko umbali kama wa dakika 20 hadi 30 kutoka Dodoma mjini ambako Eka moja ya ardhi inauzwa kati ya Shilingi laki 5 hadi laki 8.
Wanapima 70×70 nadhani miguu au mita!

Haya maeneo kwa sasa ni mashamba, unaweza kulima msimu wa kilimo.
Lakini unaweza kutumia kwa ufugaji wa ng’ombe, kuku, mbuzi, nguruwe nakadhalika!

Eneo hili ukilinunua sasa unapata hati toka serikali ya kijiji inayokuwezesha kwenda ardhi Dodoma ukapimiwa kisheria na kupewa hati.

Ndani ya miaka miwili mitatu, eneo hili utakalonunua leo laki 5 hadi 8 unaweza kuliuza hata milioni 20 au 30 kwa sababu mji unakua.

Kwa mtu mwenye jicho la mbali, na mwenye kusudi la kutoka kwenye umasikini hii ni fursa.

Kama uko interested na ungependa msaada zaidi, wasiliana nami.

Kuokoka ndio mwanzo wa ufahamu na maarifa yanayokomesha umasikini na kuinua kizazi cha watu ambao “hawatakopa bali watakopesha mataifa mengi”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
3 comments on “MUHIMU (FURSA)!
  1. NESTORY AMOS says:

    hakika unapost mambo ya msingi kweli mungu akubaliki sana

  2. Amina says:

    Mtumishi Dick Mungu akubariki sana kwa kutujali ndugu zako. Ungetaja specific hayo maeneo yenye mashamba DDM ungetusaidia sana! (Mama wa Moshi)

  3. yesunibwana says:

    Yako maeneo ya kuelekea Nane nane

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: