Aliye nacho ataongezewa

https://i1.wp.com/reesespiecesofrealestate.com/wp-content/uploads/2014/01/healthy_tree.jpgUko hai wiki hii ili ufanye kitu gani kwa ajili ya Ufalme wa Mungu?
Kumbuka: Kila tawi lisilozaa hukatwa na kutupwa bali kila tawi lizaalo matunda (lenye impact) husafishwa ili lizidi kuzaa zaidi!
Muulize jirani yako, “Utaingiza faida gani kwa Mungu wiki hii? Maisha yako yatabarikije maisha ya wengine mwezi huu?”
Ni muhimu ujue: “Aliye nacho ataongezewa…”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
3 comments on “Aliye nacho ataongezewa
  1. philipo maloda says:

    Eeeh! Mungu nisaidie!

  2. Gano Mwaibale says:

    MUNGU AZIDI KUWABARIKI

  3. baraka says:

    Mungu ambariki KILA anaye simama kumwakilisha kwa uaminifu na awabadilishe WALE wanao iendea njia ya upotevu wafuate njia sahihi. Ameni

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: