Maisha

Maisha ni “uwanja wa vita” na si “uwanja wa michezo” na ndio maana Neno la Mungu linatufundisha kuwa “tuwe hodari katika BWANA na katika Uweza wa nguvu zake” lakini pia tunaambiwa “tuvae silaha zote za Mungu ili tupate kupambana na kushinda siku ya uovu” (Waefeso 6:10-18).
Hakuna anayekwenda uwanja wa michezo na silaha bali kila aliye kwenye uwanja wa vita lazima awe na silaha!
Uwe unapambana au haupambani, haigeuzi ukweli kuwa hapa ulipo duniani ni uwanja wa vita… Ni bora uvae silaha za Mungu na kupambana!
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: