Neno la Mungu

Neno la Mungu

Kuna wakati huwa hata mimi najishangaa… Neno la Mungu limegeuza maisha yangu… Limepandisha thamani yangu maradufu… Limenifanya nikutane na watu ambao nisingekutana nao… Limepandisha hadhi na heshima yangu… Limekuza jina langu … Limenipa fursa lukuki za kimaisha… Limebadili mtazamo wangu mdogo wa maisha na kunifanya mtu wa mambo makuu… Limenipatia watu sahihi… Limenipa hekima ya Mungu na kunifanya Ishara na maajabu katika kizazi changu!
Sipati picha miaka 2, 3, 5 ijayo kama Yesu atakuwa hajaja kulichukua kanisa; Nitakuwa effective kama BWANA wangu Yesu katika maeneo yote.
“Neno la Mungu li hai… Neno la Mungu lina nguvu… Neno la Mungu lina makali kuliko upanga wowote… Neno la Mungu linayajua na kuyatambua makusudi na mawazo ya moyo” (Waebrania 4:12-13).

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Neno la Mungu
  1. Witness Sosthenes says:

    Ameeen

    Sent from Yahoo Mail on Android

    From:”yesunibwana” Date:Tue, Jun 9, 2015 at 9:42 Subject:[New post] Neno la Mungu

    yesunibwana posted: ” Kuna wakati huwa hata mimi najishangaa… Neno la Mungu limegeuza maisha yangu… Limepandisha thamani yangu maradufu… Limenifanya nikutane na watu ambao nisingekutana nao… Limepandisha hadhi na heshima yangu… Limekuza jina langu … Limenipa fu”

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: