PATA PICHA

https://i0.wp.com/images.clipartpanda.com/light-bulb-idea-image-lightbulb.jpg
“Kama Mungu hamzuii MZINZI, MUUAJI, MCHAWI na waovu kutimiza MAWAZO MABAYA YALIYOMO MIOYONI MWAO ataanzaje kukuzuia USITIMIZE MAWAZO NA NDOTO NJEMA ULIZONAZO NDANI? Acha kumsingizia Mungu; KAMA UNALIONA JAMBO JEMA NDANI YAKO limewekwa na Mungu humo, LIFANYIE KAZI LIONEKANE NJE… Katika mambo yote Mungu hutenda kazi na wale wampendao AKIWAPATIA (maono, mipango, ndoto, makusudi) MEMA”
(Warumi 8:28-31)
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: