NDOA

https://s-media-cache-ak0.pinimg.com/736x/90/b7/5e/90b75e274ffb5ce02ec32c196f069e94.jpg
“Matatizo yote yanayotokea kwenye ndoa yanatokana na wanandoa WAPUMBAVU wanaooa na kuolewa na watu ambao HAWAJUI THAMANI YAO… Mwanaume akioa mke ANAYEONA THAMANI YAKE (ALICHOBEBA ASICHOKUWA NACHO MWINGINE), hatahitaji mtu yeyote kumwambia MPENDE MKEO, Kila chenye THAMANI KUBWA KWAKO UTAKIPENDA NA HAUTAKIPOTEZA… Mwanamke akiolewa na MWANAUME ALIYEONA THAMANI KUBWA NDANI YAKE, hatahitaji mtu yeyote amwambie MTII MMEO… Matatizo yanatokana na wanaume na wanawake wanaooa na kuolewa na wenzi ambao HAWAJUI THAMANI YAO HALISI kwenye Ufalme wa Mungu na dunia yao… Mtu akipata kitu cha thamani ataacha au kughairi chochote ili asikipoteze hiki cha pekee”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa
2 comments on “NDOA
  1. MICHAEL ANGULILE says:

    Ahsante kwa mafundisho haya; ila nafikiri namna mtu anavyomwona mwenzi ni matokeo si chanzo; wala haitokei hivihivi tu maana naamini hakuna mtu naingia kwenye ndoa ili akamdharau au asimthamini mwenzie. Hebu rudi nyuma (usikate matawi), elezea ni mambo gani (chimba mizizi) yanafanya watu wasione thamani ya wenzi wao?

  2. Mneji Makuka says:

    Asante Mwalimu Dickson kwa somo zurii,Mungu azidi kukutumua ili kutuokoa na mioyo yetu iinuliwe juu zaidi.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: