WAOLEWAJI

https://i0.wp.com/makositoday.com/wp-content/uploads/2013/03/black-girl.jpg
“Kila mwanamke anayeolewa na mwanaume mwenye maono, ndoto na kusudi sawa na lake atafurahia maisha. Maana watakuwa na lugha moja, mpango mmoja, watapita pamoja kwenye kila bonde la uvuli wa mauti, kwenye moto na maji mengi na mmoja akichoka mwingine atamwinua. Ni hatari na kifo endapo utaolewa na mme ambaye ana maono, ndoto na kusudi tofauti na lako hata kama unapewa kila kitu lakini hamna ushirika, kila mtu anaona yake tofauti kutakuwa na maono mawili (di-vision) yatakayosababisha mgawanyiko (division)… Watu wawili hawawezi kwenda njia moja wasipopatana”
(Amosi 3:3).
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: