Hupaswi kuwa Maskini

https://i1.wp.com/www.bet.com/content/betcom/b-real/relationships/photos/2014/04/10-reasons-we-love-our-men/_jcr_content/image.custom1200x675x20.dimg/041614-b-real-relationships-reasons-we-love-our-men-attractive-man-facial-hair-beard-smiling-happy-beach-dating.jpgMungu alisema kwa WANA WA IBRAHIM (Waisraeli): Mtakapoingia kwenye ile nchi niwapayo, MSIWASAHAU MASIKINI (Muwatunze na muwe jibu lao), kwa maana MASIKINI HAWATAKOMA JUU YA NCHI… Hakusema wana wa Ibrahim wataonja umasikini, hapana! Aliwaagiza WANA WA IBRAHIM WATUNZE MASIKINI… Masikini hawezi kumsaidia masikini… Asiye nacho hawezi kumsaidia asiye nacho mwenzie, ataishia tu kumtia moyo bila kusolve issue yake… Mungu alishasema WANA WA IBRAHIM watakuwa MATAJIRI ILI WATUNZE MASIKINI… Na Kila aliyeokoka ni MWANA WA IBRAHIM (Galatia 3:7,9, 13-14, 29)… Hupaswi kuwa masikini kamwe ukiokoka… Unapaswa kuwa tajiri ili utunze masikini… Ni wajibu wa kila MWANA WA IBRAHIM”
‪#‎SIWEZIKUWAMASIKINI‬
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Hupaswi kuwa Maskini
  1. Amina says:

    Amen mtumishi, kiukweli unakonga nyoyo zetu maana kwamimi umaskini siupendi kabisa. Mungu azidi kukutumia ili wengine tupone. Karibu tena Moshi

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: