Imani vs Amani

https://i0.wp.com/www.singleblackmale.org/wp-content/uploads/2012/06/black_man_praying.jpg“Haianzi AMANI YA KRISTO MIOYONI MWETU bali inaanza IMANI KWA KRISTO KUPITIA NENO LAKE linalozungumzia hali, changamoto, pito au jaribu ulilonalo. Imani ikishakuja moyoni, amani itakuja tu hata kama kwa nje huoni mabadiliko. Neno linakupa kujua kuwa ALIYEAHIDI ANAWEZA NA KUFANYA, NI MWAMINIFU NA WA KWELI, HANA KIGEUGEU, HATALIARIFU AGANO LAKE… Na hii itakupa AMANI AMBAYO DUNIA (Mazingira, hali unayopitia) HAIWEZI KUKUPA… Utajikuta UMENYAMAZA NA KUUONA WOKOVU WA BWANA… Inaanza IMANI halafu inafuata AMANI YA MUNGU IPITAYO FAHAMU ZOTE, ukishapata amani, MIUJIZA NA MAAJABU YANAANZA KUTOKEA”
‪#‎ImaniyaKristo‬ vs ‪#‎AmaniyaKristo‬
Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: