Kila ndoto/mawazo ni halisi

just-thinking-val-stokes“Kama mtu anaweza KUTENGENEZA NDANI YAKE PICHA ya kuua, kuzini au kufanya uovu na HIYO PICHA INATIMIA KWENYE UHALISI, ni kitu gani cha kukufanya uamini kwamba MUNGU ATAKUZUIA KUTIMIZA PICHA ZA MAWAZO MEMA UNAYOONA NDANI YAKO? Come on, KILA UNACHOONA NDANI KINAWEZA KUWA HALISI UKIONDOA MIPAKA UNAYOJIWEKEA KWA KUTOAMINI KWAKO. Uonacho ndani yako ndivyo ulivyo na unavyoweza kuwa kama utaamua kuwajibika kufanya itokee. EVERY DREAM IS VALID NO MATTER WHERE YOU ARE NOW”
(Mwl D.C.K)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Kila ndoto/mawazo ni halisi
  1. fortunatus lata says:

    Ukosefu/Imani haba ndo mara nyingi kinafanya watu wafanye maamuzi magumu ila ukaribu wetu na Yesu kristo kupitia msaidizi Roho mtakatifu ndoto izo hazikupati

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: