Namshukuru Mungu

D.jpgNamshukuru Mungu kwa miaka 26 aliyonipa hadi leo!
Namuahidi SITAMUANGUSHA.
Namuahidi nitafanya kazi.
Hatajuta kuniamini na kunipa nafasi ya kuwa hai katika kizazi hiki na vingi vijavyo.
Namhakikishia:
1. Nitakuwa wakili mwaminifu wa siri zake (1Kor 4:1-2).
2. Nitakuwa nuru ya walio gizani (Isaya 60:1-4, Mathayo 5:13-16).
3. Nitakuwa shahidi wake mwaminifu (Matendo 1:8).
4. Nitakaza mwendo niifikie mede ya thawabu ya mwito mkuu katika Kristo Yesu (Wafilipi 3:18).
5. Nitakuwa barua yake bora inayosomwa na kila mtu (2Kor 3:2-3).
6. Nitaujenga mwili wa Kristo na kuwakamilisha watakatifu na kuifanya kazi ya huduma kwa uaminifu wote (Waefeso 4:11-13).
7. Nitakuwa mwaminifu hata kufa (Ufunuo 2:10).
Asante Mungu kwa kuniamini na kunipa maisha marefu na ya baraka nyingi!
Kipenzi chako,
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: