Tafuta msaada uwe huru

https://uncommonrealist.files.wordpress.com/2013/08/shackles.jpg?w=955&h=615Ukishatoka tu kwenye “mwili wako” damu ya Yesu haina tena nguvu ya kukutakasa!
Ukishafariki na kuuacha mwili wako, haijalishi utalia na kumbembeleza Mungu kiasi gani, KAMA HAUKUWA MTAKATIFU, UMEPOTEA MILELE!
Wale ambao WANAISHI NA KUPUMUA BADO hao ndio wanaweza KUITUMIA DAMU YA YESU na NGUVU YA MSALABA kuupata UZIMA WA MILELE!
Usiichezee thamani ya damu ya Yesu; OKOKA LEO, NA KAMA UMEOKOKA NA BADO UNA STRUGGLE NA VITU FULANI, TAFUTA MSAADA UWE HURU!
(Waebrania 4:16, 1Yohana 1:8-9).

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: