Hakuna kinachotokea kwa Bahati mbaya

071006160136_view-good_friends“Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya kwenye maisha ya mtu… Utakapoona KIWANGO CHA MAISHA YANGU MWAKA MMOJA, MIWILI AU KADHAA IJAYO, njoo kwenye status zangu facebook, mafundisho yangu kwenye www.yesunibwana.org au waulize waliowahi kukaa na kuongea na mimi au waliowahi kuhudhuria kwenye ibada, semina au kongamano nililokuwa nafundisha. Mimi huongea KILICHOUJAZA MOYO WANGU (Mathayo 12:34-37), Huongea NINACHOONA NDANI YANGU (Mithali 23:7), Huongea NILICHOAMINI (2Korintho 4:13). Ni asiyeyaona haya ninayoandika hapa, asiyejua wito na mafundisho niliyopewa, na kile nilichonacho atakayenishangaa mimi, maisha na huduma kubwa nitakayokuwa nafanya dunia nzima… Wengi wanaonifahamu hawatashangaa, wanaweza kuona waziwazi wapi naelekea”
‪#‎WeweUnaelekeaWapi‬?
‪#‎LughayakoInakuelekezaWapi‬?
‪#‎UnajazaNiniMoyoniMwako‬?
‪#‎UnapandaMbeguganiKichwaniMwako‬?
“Hata leo ni kesho uliyokuwa unaisubiri. Kesho haichelewi kufika, umejipangaje?”
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: