KWARESMA AU KWA LAZIMA?

https://media.giphy.com/media/SufoKsersIO2Y/giphy.gif

🎼🎶🎵“Hii ni ajabu ya kifo chake Bwana Yesu, kilikuwa cha taabu nyingi, akasema moyoni namaliza kazi kwa huzuni… Akakata roho kwa huzuniii… Akaliaaa kwa huzuni, mpaka mwisho alikufaa… Kamaliza kazi kwa huzuniii🎼🎧🎤
(Huu wimbo unatangulia tafakari ya mnenaji kupitia TBC kabla ya Neno la siku hiyo katika kipindi cha mwezi wa toba wa Kwaresma)!

Huu wimbo ungekuwa unaishi mioyoni mwetu kila siku na si Kwaresma mpaka Kwaresma nyingine, tungekuwa na Wakristo wa ajabu sana.
Watu watauwa, watakatifu, wacha Mungu na wenye mioyo ya toba.
Tusingekuwa na tukio hata moja linalohusisha Mkristo la rushwa, uhalifu, utoaji mimba, uzinzi na uasherati, na kila namna ya uchafu.
Wakristo wangekuwa sababu ya Yesu kuheshimiwa na kutukuzwa duniani na kila mtu hata bila kuhubiriana.
Watu wangejionea uhalisia wa Kristo maishani mwetu.
Sasa nashindwa kuelewa Kwaresma ni kipindi fulani cha TOBA KWA LAZIMA au ni mfumo wa maisha kama Wakristo??
Nahisi nimeimiss Kwaresma ili mambo yafanyike kwa lazima!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: