WATUMISHI WA MUNGU NA WAKRISTO

Asante sana Mwalimu. Mimi ni member wa Winners Chapel, ni kanisa langu. Model ya leadership ya hili kanisa pamoja na efforts zisizokoma za Papaa Oyedepo; huwa natamani makanisa ya hapa nyumbani yajifunze kitu. Usifikiri wanaua tu karama zao na makanisa yao lakini hizo mentality zao zimekuwa sababu kubwa ya waliookoka wengi kuto-shine na kuwa watu wanaoleta impacts kwenye jamii zao. Mchungaji anaeridhika na mafungu ya kumi ya walimu wa sekondari kumi ama ishirini unadhani atatoa wapi visheni za kuwapush waumini kujenga viwanda na kuanzisha mambo makubwa? Ni huzuni kubwa kwamba waumini wengi wamekuwa limited kimaendeleo kwa sababu watumishi wengi wamezembea ama wamejitia viburi kujiongeza. Wamekalia tu majungu; kutwa kucha madhabahuni kutamka mara ohooo, TB JOshua ni Freemason, mara ohooo wahubiri wa Nigeria ni wachawi na porojo nyingi. Wiki iliyopita niliugua sana moyo baada ya kuona Gazeti la kanisa moja la kiroho limemshambulia TB Joshua waziwazi na kwa chuki. Watu wanashinda kuponda wengine kwamba hawana Mungu wa kweli na wakati huo huo wao wenyewe hawana cha maana wanachoonesha. Wanaacha kujifunza kwa watumishi waliofanikiwa wanabaki wanang’ang’ana na kuwatishia waumini wasiotoa sadaka! Oyedepo amepata kusema ukiwa mtumishi, “dont raise money but raise people, when you raise people money will keep flowing”
Comment ya smartmind Albert Nyaluke Sanga

 

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: