Neema ya Mungu

Neema ya Mungu ikiwa juu yako, utafika hata ambako haujawahi ota, utafanya ambayo hayajawahi kufanywa, utakuwa ishara na ajabu kwa dunia yako. Kitu kizuri na kinachofurahisha NEEMA YA MUNGU INAPATIKANA KUPITIA MAOMBI (kukisogelea kiti cha neema ili kupata neema na rehema za kukusaidia wakati wa mahitaji). Kila mwombaji ni mtu aliyejaa neema ya Mungu na kila mtu aliye na neema kubwa ya Mungu ni mtu mkubwa pia kwenye maombi”
(Waebrania 4:16).
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Neema ya Mungu
  1. SEBASTIAN NDOHELO says:

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU WA MBINGUNI ALIYE HAI…

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: