makali ya Kisu

https://i0.wp.com/www.qy1.de/img/m312715black1.jpg“Makali ya kisu hayamtegemei ALIYEKITENGENEZA, Makali ya kisu yanamtegemea MTUMIAJI WA KISU. Ndivyo ilivyo kwa suala la kufanikiwa na kuacha alama hapa duniani. Mungu amekuumba ukiwa KISU KAMILI (Ukiwa na vipawa, karama, mawazo bora ambayo hakuna aliyenayo duniani ya kuigeuza dunia yako, maono na ndoto kubwakubwa), kama ukiamua kutulia tu HAKUNA TUTAKACHOKIONA KWAKO (Utakuwa butu), Ila ukiamua kuwekeza muda wako KUJINOA (Kutafuta maarifa kwenye Biblia kuhusu masuala mbalimbali ya maisha, kusoma vitabu vya waliofanikiwa hasa waliookoka au Wanaomwamini Yesu, kuhudhuria semina mbalimbali na fursa zote za kupanua ufahamu na kiwango chako cha maarifa) utakuwa KISU CHENYE MAKALI na hakika hautaondoka duniani bila dunia yako kujua kwamba ULIKUWEPO. Ila ukiamua kumuachia MTENGENEZA KISU akipe makali badala ya kukubali uwajibikaji na KUKIPA MAKALI KISU, utaishia kuwa MSINDIKIZAJI KATIKATI YA WANADAMU”

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: