Nyota Kung’aa

https://www.awesomestories.com/images/user/65e38ed5d5.jpg“Anga linatosha kwa kila NYOTA KUNG’AA. Nyota huwa hazishindani au kugombania nafasi ya kudhihirisha utukufu zilizobeba. Ukiona mtu ana wivu au anajaribu kushindana na mwingine au anajaribu kumchafua au kumzima, ujue huyo si NYOTA bali ni GIZA TOTORO. Nyota huheshimu nyota nyingine. Nyota hujiamini na kukaa kwenye eneo lake na kutoa nuru bila kuingilia mipaka na eneo la wenzake. Ukishajua wewe ni nyota haupotezi muda kushindana na wengine wanaofanya unachofanya, Unawekeza muda kufanya kwa ubora kile ulichoitiwa. Halafu duniani itatambua uwepo wako. Everyone is unique and special, trying to be somebody or quenching somebody’s fire doesn’t make your fire burn more. Keep adding firewoods to your own fire and enjoy life. Dunia inatutosha wote kufanya vitu vya kuacha alama. Hakuna haja ya mashindano au kufunikana. Cheza namba yako vizuri halafu subiri mchezaji bora wa mechi atangazwe”
(Wafilipi 2:1-3).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: