Songa Mbele

https://i0.wp.com/afrikangoddessmag.com/wp-content/uploads/2013/03/black-woman-crying.jpg“Hauwezi kupata uhondo wa kitabu kwa kuendelea kubaki kwenye ukurasa mmoja tu. Lazima ufungue kurasa nyingine zinazofuata. Ukamilifu wa kitabu unategemea kurasa zilizo mbele. Acha kupoteza muda kwa ajili ya jana yako, itumie leo kutengeneza kesho unayoitaka. Jana hairudi, ni uchizi kuendelea kubakiza moyo wako jana huku mwili wako ukiwa leo. Futa machozi songa mbele. Una leo kuamua kesho yako, unaitumiaje? Utaendelea kulia na kulalamika au utamuamini Mungu na Neno lake na kupiga hatua kuelekea kwenye mawazo mema na ya amani anayokuwazia? Wajibu wangu ni kukuamsha ila uamuzi wa kuinuka na kuendelea na safari ni wako”
(Ayubu 22:29, Isaya 43:18-19, Ayubu 14:7-9)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Songa Mbele
  1. fortunatus lata says:

    Amen

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: