Uzuri au Ubaya

https://i1.wp.com/www.thevillablogger.com/wp-content/uploads/2015/01/good-or-bad.jpg“Uzuri au ubaya wa mtu hauko katika kile anachokufanyia bali katika kile ulichokusudia kupokea kwake. Hakuna asiye na kitu chema, na hakuna asiye na mapungufu. Ila ukijizoeza kutafuta faida walizobeba watu kuliko makosa na madhaifu yao, utafurahia maisha. Naamani alikuwa mkoma lakini pia alikuwa SHUJAA WA VITA. Rahabu alikuwa Kahaba lakini pia ALIKUWA NA POTENTIAL YA KUVUSHA ISRAEL KWENDA KANANI. Samsoni hakuwa mtu mwenye nidhamu kwa wanawake lakini KIPINDI CHOTE ALICHOKUWA FORM ISRAEL ILIKAA KWA AMANI. Wewe ndiye unayeamua upokee nini kwa watu. Kila aliyeumbwa na Mungu ana kitu chema amebeba. Unaamua wewe upokee nini kwake mbali ya madhaifu na mapungufu yake”
(Mwanzo 1:31, Mithali 18:22).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: