BUSU LA YUDA ISKARIOTE

https://i.ytimg.com/vi/Sk9jR188MSQ/hqdefault.jpg“Si kila busu ni ishara ya upendo. Liko busu la Yuda Iskariote, busu la mauti, busu la kukuuza kwa adui zako, busu la biashara (hapendwi Yesu bali vipande thelathini vya fedha), busu la unafiki (meno yamekenuliwa lakini moyo umekunjamana). Habari njema ni kwamba akina Yuda huwa wanajinyonga kabla ya waliowasaliti hawajasulubiwa. Najisikia kumpenda Iskariote, maana busu lake atakalonipiga litakuwa la mwisho, nalingojea kwa hamu ili nimuone kwa mara ya mwisho maana sitamuona tena”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: