Mwanamke si Dhaifu

https://i0.wp.com/news.bbcimg.co.uk/media/images/75499000/jpg/_75499358_sbna_madinalandsberg2.jpg“Mwanamke si dhaifu, mwanamke si mnyonge, mwanamke ni mtu mkuu. Mwanamke hana kitu alichopungukiwa kuwa bora kama au hata zaidi ya mwanaume. Wote, mwanaume na mwanamke waliumbwa siku moja na kwa namna moja na kwa pumzi moja ya Mungu. Wote kwa sura na mfano wa Mungu wameumbwa. Mwanamke, amka ufanye mambo makubwa. Biblia inasema siku hizi za mwisho wanawake watakuwa bora kama vile wanaume, wote mwanamke na mwanaume watatumiwa na Mungu kuleta mageuzi kwa dunia yao. Mwanamke, wewe si dhaifu, mwanamke umebeba sura na mfano wa Mungu. Umebeba creative power, ability na capability alizonazo Mungu. Ukiamka mwanamke, Utaibariki na kuigusa dunia yako. Mwanamke amka, dunia inakusubiri, kanisa na taifa vinakutegemea”
(Mwanzo 1:26-28, Yoeli 2:28).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: