Kuzitoa Baraka 003

https://i2.wp.com/www.amharictube.com/uploads/articles/e46c3646.jpg“Njia ya tatu ya kufanya ili ULIVYONAVYO NDANI vitoke na vidhihirike NJE KWENYE DUNIA YAKO ni KUITUMIA IMANI KATIKA NENO LA MUNGU. Imani ni HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO. Imani haibahatishi, imani ni hakika! Imani ina uwezo wa KUYAZAA YASIYOKUWEPO UNAYOYATARAJIA. Imani huzaliwa kwa kusikiliza juu ya ahadi na kweli za Neno la Mungu zinazokujulisha kuwa MUNGU ANA VITU VIKUBWA VYA KUFANYA KUPITIA MAISHA YAKO (Vikiwemo hivyo unavyoona ndani yako). Pia IMANI INA NGUVU BINAFSI YA KUSUKUMA VITU VITOKEE (Imani huamisha milima, imani hufunga hata makanwa ya simba, imani huzaa miujiza, imani hushinda ulimwengu na kila kizuizi). Ukiwa na imani hata chembe ya haradali UTAZAA BARAKA NA IDEAS ZOTE ULIZOBEBA”
(Ebr. 11:1, Marko 9:23, Marko 11:23-24, Wagalatia 3:14, 1Yohana 5:1-4).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: