Kuzitoa baraka 002

https://chosenrebel.files.wordpress.com/2012/02/preaching.jpg?w=294&h=227“Njia ya pili ya kutoa baraka ulizobeba NDANI YAKO kudhihirika NJE KWENYE DUNIA YAKO ni kwa KUSEMA UNACHOONA NDANI YAKO bila kujali mazingira yakoje. MANENO NI NISHATI YA KIROHO isiyoonekana lakini YENYE MATOKEO YASIYOPINGIKA. Mungu AMETUUMBA KWA SURA NA MFANO WAKE, na ametuweka duniani TUFANYE KAMA YEYE; Tufanye vitu vitokee kwa SAUTI YA MANENO YETU! Mungu anasubiri TUONGEE KILE ALICHOWEKA NDANI YETU KWA IMANI halafu Yeye (Mungu) ATAYAUMBA KWENYE UHALISIA”
(Isaya 57:19, Hesabu 14:28, Mithali 18:20-21).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: