Mungu hazuii Ideas (Mipango)

“Ile kwamba kuna MAJIZI yenye VIJIJI VYA NYUMBA kwa wizi na ufisadi isikufanye ukae chini na kusema HERI MIMI NAPANGA CHUMBA KIMOJA KWA PESA NA JASHO LANGU HALALI. Huo ni UJUHA. Kupanga chumba kimoja si sifa. Na kama ni sifa ni SIFA YA UMASIKINI. Nikuulize kitu; KAMA HUYO SIJUI TIAGO MOTA, SIJUI TIAGO MASAMAKI KAWAZA WAZO (IDEA) YA KUIBA NA MUNGU KAIONA NA HAJAIZUIA MPAKA IMEKUJA KUBUMBURUKA BAADAE KWA VILE FURAHA YA WAOVU NI YA KITAMBO TU (Biblia imesema), Mimi https://i0.wp.com/mad-learn.com/wp-content/uploads/2015/07/ideas.jpgNINACHOJIFUNZA HAPO NI HIKI: MUNGU HAZUIAGI IDEAS NA IMAGINATION ZETU, KAMA TUTAKOMAA, NA KUAMINI KATIKA TUNACHOONA NDANI YETU, KINACHOWEZA KUWA HALISI, CHA KUIGUSA NA KUIBARIKI DUNIA YETU, HATUTAONDOKA DUNIANI BILA KUACHA ALAMA. Maisha yako halisi ni yale UNAYOONA NDANI YAKO (Picha ulizonazo moyoni au kichwani, matukio na vitu unavyoona ndani yako visivyokuwepo lakini vinavyoweza kuwepo kama utaamua KUCHUKUA HATUA KUVIFANYA VITOKEE). Ya Tiago muachie Tiago. Ila je, Ya kwako ULIYOJAZA NDANI TUSIPOKUCHOKOZA YAKAFIA UMO, HUJUI UTAKUWA UMETUKWAMISHA?? Kwa taarifa yako, HATA HUU UJUMBE UNGEBAKI NDANI YANGU NA KUSAHAULIKA KAMA NINGEPUUZA HILO WAZO! Acha kupuuza unavyoona ndani yako, vinaweza kugeuza jumla dunia yako! Watu WALIWAZA KUINGIZA TWIGA KWENYE NDEGE AKATOSHA, Sembuse hayo ma-idea uliyonayo? USIYAKATIE TAMAA, YANAWEZEKANA KABISA KUTIMIA NA YAKAONGEZA KITU KWA DUNIA YETU”
(Mithali 23:7, Ayubu 22:28, Mwanzo 11:6).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Mungu hazuii Ideas (Mipango)
  1. elivanus adamu says:

    Ubarikiwe sana endelea kutufungua doctor maana wengine tuna mawazo yanayojirudia marsmara kwa mara kila wakati. Lakini tunashindawa kuanzia wap

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: