Kuishi kwa Neno

https://i1.wp.com/thecripplegate.com/wp-content/uploads/2012/05/bible-in-swahili.jpg“Unapaswa kuwa na BALANCE NZURI kati ya wewe kama roho (mtu halisi), na wewe kama mwili (nyumba ya roho) kwenye eneo la MUDA. Mtu wa ndani (roho yako), ametokana na Mungu ambaye NI WA MILELE na ambaye hana jana, leo wala kesho (KWAKE SIKU ZOTE NI SAWA, SIKU MOJA NI SAWA NA SIKU ELFU, Kwake KILA WAKATI NI SASA); Mtu wako wa ndani, yaani roho yako HAFUNGWI NA MUDA na mtu wako wa nje, yaani mwili wako amefungwa ndani ya muda (kuna mambo au vitu asipovifanya na kuvikamilisha muda fulani, itakuwa ngumu kibinadamu kuvipata au kuvikamilisha); UNAPOISHI KUTOKEA ROHONI MUDA SI KIGEZO CHA KUPATA AU KUKOSA CHOCHOTE. Mungu wetu anaweza KUTURUDISHIA MIAKA ILIYOLIWA NA NZIGE, NA MADUMADU NA TUNUTU NA PARARE (Joeli 2:25-27). Na huku kuishi kutokea ndani (kuishi kutokea rohoni), ndiko tunakuita KUISHI KWA IMANI (Waebrania 10:38, Warumi 1:17, Habakuki 2:4). KUISHI KWA IMANI NI KUISHI NDANI YA MUNGU NA KUTEMBEA NDANI YAKE NA KUENDESHA MAISHA YAKO NDANI YAKE (Matendo 17:28). Ni KUISHI KWA NENO LAKE KULIKO TAARIFA NYINGINE YOYOTE YA KISOMI AU KITAALAM INAYOFUNGWA NA MLANGO WA MUDA (Yohana 6:63). Ni kufungua macho ya moyo wako na kuona pande zote ambayo MUNGU ANAWEZA KUKUPA WEWE NA UZAO WAKO (Mwanzo 13:14-17). Ni kuishi kwa kuyatafakari yaliyo juu tu na si yaliyo katika nchi, yaani KUYAWAZA NA KUYATAFUTA MAMBO YASIYOWEZA KUFANYWA NA WANADAMU WA KAWAIDA (Wakolosai 3:1-3, Zaburi 60:12). Nikutakie maisha bora sana yanayotoka rohoni kuja mwilini”

NB: Hakikisha umeyasoma maandiko yaliyo katika ujumbe ili kupanua uelewa wa somo.

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: