kuwa / kuzngukwa na Watu sahihi

https://i2.wp.com/previews.123rf.com/images/michaeljung/michaeljung1403/michaeljung140300261/26655150-group-of-happy-african-american-college-students-walking-on-modern-campus-Stock-Photo.jpg“BAHATI NA WAKATI HUWAPATA WATU WOTE (Mhubiri 9:11). Mungu hana upendeleo, KILA MMOJA WETU amepewa mambo haya mawili BAHATI NA WAKATI ambavyo kama tukivitumia kwa UANGALIFU, UAMINIFU NA UADILIFU vinatosha kabisa kugeuza maisha ya kila mtu na kumsaidia kuelekea kilele cha maisha aliyomkusudia Mungu. Neno BAHATI kwa tafsiri ya kiingereza ya Biblia limetafsiriwa kama OPPORTUNITY yaani FURSA. Ikiwa na maana kwenye maisha Mungu amempa KILA MTU MUDA (WAKATI) NA FURSA ambavyo akivitumia vizuri ni MTAJI WA KUGEUZA JUMLA MAISHA YA KILA MMOJA WETU. Miongoni mwa Fursa ulizonazo ni WATU (Soma Isaya 43:4, Isaya 60:11). Kila anayekuja kwenye maisha yako UNA KITU CHA KUMPA: Upendo, heshima, msaada ulio ndani ya uwezo wako, kumshirikisha vipawa ulivyonavyo nakadhalika, HALAFU NAYE ATAKUPA KITU AU VITU HATA AMBAVYO HUKUVITARAJIA (Luka 6:38). Kaa vizuri na watu (Waebrania 12:14). Na OMBA MUNGU akupe WATU SAHIHI watakaokupeleka HATUA NYINGINE (Zaburi 2:8). Watu ni FURSA MUHIMU SANA ambayo kila mtu anayo. Masikini ana watu, tajiri pia ana watu. UTUKUFU WA MFALME NI WINGI WA WATU WAKE; BALI UCHACHE WA WATU NI UHARIBIFU WA MKUU WAO (Mithali 14:28). Ukomboe wakati (Fanya vitu in advance: CHA WIKI IJAYO FANYA WIKI HII), Utayafurahia maisha hapa duniani (Waefeso 5:15-17). Jifunze kutambua NYAKATI NA MAJIRA ULIYOMO NA UYATUMIE VIZURI (Luka 19:41-44, 1Nyakati 12:32). Ukijua kutambua NYAKATI NA MAJIRA, maisha hayatakuwa magumu kwako, utapata KILA FURSA ndani ya KILA WAKATI (Mhubiri 3:1-8)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: