Umeanza Kuwa Baraka

https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/1/13/Facebook_like_thumb.png“Utajuaje kuwa wewe ni baraka? Pale unapopost kitu halafu hata wale ambao hawajawahi ku-like wanakushambulia au kukosoa/ kukuonesha hauko sahihi. Hii inadhihirisha unafanya vizuri maana una watu wanaokubali kile unachokifanya kimyakimya ila wanatamani wangekuwa wao. Wanasubiri kwa hamu lini utakosea ili wapate pa kusemea! Ni baraka kuwa na watu wanaokukubali na wanaokusoma kimyakimya, wanaguswa, wanapokea kimyakimya, wanatendea kazi usemayo kimyakimya na hata kutengenezea masomo, ila wanakusubiria uteleze wapate pa kusemea. Hii ni nzuri maana inathibitisha wanakukubali, na wanajua wewe ni bora zaidi ya ulichoweka na wakapata kasoro. Take their challenges positively, mshukuru Mungu kwa kukupa watu wanaosoma kila kitu chako neno kwa neno! Ukianza kukosolewa, umeanza kuwa baraka”
(Mwl D.C.K)

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: