Mipaka

https://i2.wp.com/i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/06/14/11/299AF83B00000578-0-image-a-33_1434276504898.jpg“Ukiona mtumishi wa Mungu anamsema mtumishi mwingine wa Mungu, kuna mawili; Moja hajui mipaka ya maono aliyopewa ndio maana anapata muda wa kuongelea wengine ambao hata hawana muda naye na pengine hawamjui… Pili, huenda ni wivu tu, huyo jamaa anayemsema ana madude kibao ya Ufalme anamzidi hivyo badala ya kujishusha na kumfuata kujifunza anaona bora amchafue ili watu wamchukie wamuache wote wawe level moja. Hii haitafanya kazi, Yesu alishasema TAI HUKUSANYIKA PALIPO NA MZOGA; Kama jamaa ana vitu adimu vya Ufalme huwezi kumharibia, watu watazidi kumfuata na kujazana… Ukiwa na Ufahamu wa mambo ya Ufalme wa Mungu, utampenda kila mtumishi, Hasa wale ambao WANA VINGI KULIKO WEWE ili Mungu auone moyo wako si sawa na wa Kaini ili AKUPE WALIVYONAVYO hao watu wakuu wa Mungu”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: