Umepata Wazo Litendee kazi

https://c.stocksy.com/a/Vf8000/z0/33325.jpg“Mungu aliniambia zamani kitu hiki ambacho sitakaa nikipuuze au nikisahau: WAZO LIKIJA NDANI YAKO HALAFU UKALIACHA LIKAPOA (LIKAKAA BILA KUFANYIWA KAZI) LINAPOTEA UNABAKI UNAJUA KUNA KITU KILIKUWA KICHWANI ILA HUWEZI TENA KUKIKUMBUKA WALA KUKIPATA. Tangu nilipojua hilo, NALIFANYIA KAZI WAZO LIKIWA LA MOTO, NAJUA LIKIPOA SINA CHANGU. Jifunze hiki kitu muhimu kwangu usiku huu. Yesu alisema NENO (WAZO) LA UFALME LIKIKUJIA HALAFU USILITENDEE KAZI, UTAKUWA NJIA TU, SHETANI ATAKUJA NA KULIIBA MOYONI MWAKO (Mathayo 13:19)”
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: