Shetani hupingana na watu wenye Maono/Ndoto Kubwa

https://i2.wp.com/ymcaboston.org/sites/default/files/uploads/130828%20Dream%20Big%20Andres%20Magra%20Main%20Photo.jpg

“Shetani HAJAWAHI KUJIHANGAISHA NA WATU AMBAO WANA DESTINY MBOVU AU NDOGO. Shetani anapambana na watu ambao KESHO YAO NI KUBWA SANA. Shetani anapambana sana na watu ambao UWEPO WAO DUNIANI UTALETA SULUHU KWA DUNIA YAO. Ukiona unapata upinzani na vita ambayo wenzako uliozaliwa nao, uliokua nao, uliosoma nao HAWAPATI AU HAWAPIGANI NAYO, ni ushahidi tosha kuwa KESHO YAKO NI KUBWA SANA. Shetani hapigani vita asiyokuwa na uhakika wa faida kubwa mwisho wake. ALIMSUMBUA YESU TANGU AMEZALIWA AKATAKA KUMUUA KUPITIA HERODE. Kama haitoshi ALIMJARIBU KWA MAJARIBU ZAIDI YA MANNE TOFAUTI ALIPOANZA HUDUMA. Shetani alijua YESU ANA DESTINY KUBWA, ALIIWINDA KWA NAMNA ZOTE. Naamini unakumbuka kuhusu YUSUFU, YAKOBO, RAHABU, DAUDI, DANIELI, SHEDRACK, MESHACK NA ABEDNEGO, RUTU, ESTA, MODEKAI, IBRAHIMU na mashujaa wengine wa BIBLIA. Wote hawa walipata upinzani mkali sana kabla ya kufikia HATMA ZAO ZILIZOTUKUKA TUNAZOZISOMA KWENYE BIBLIA. Na habari njema sana kuliko zote ni hii; KILA MWANADAMU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE ANA HATMA KUBWA SANA KWA SABABU AMEUMBWA KWA MKONO WA MUNGU ASIYEFANYA CHOCHOTE CHA HASARA (Isaya 48:17). KAMA UKO HAI DUNIANI MUDA HUU, UNA DESTINY KUBWA MNO; MWAMINI MUNGU, USIUTUPE UJASIRI WAKO, TUNZA UWEPO WA MUNGU KWA UTAKATIFU (Zaburi 91), HALAFU DUNIA ITAJUA NA ITABAKI NA KUMBUKUMBU YAKO DAIMA, wewe ni sehemu ya JESHI KUBWA LA MUNGU LA SIKU ZA MWISHO (Yoeli 2:1-6). USIKATE TAMAA KWA CHOCHOTE; YOUR FUTURE IS TOO BRIGHT TO BE DARKENED BY DEVIL. Kama Shetani hakuitoa mimba yako ukiwa tumboni kwa mama yako AMECHELEWA. Kama hakufanikiwa kukuzuia kuokoka AKALALE, IT IS TOO LATE FOR HIM”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: