YESU WA KWANGU

https://i2.wp.com/encounters-with-jesus.org/wp-content/uploads/2015/05/header-jesus-hug.jpg

“Upana wangu wa Neno la Mungu hauishii kwa YESU ANAYESAMEHE DHAMBI TU, YESU ANAYEANDAA MAKAO MBINGUNI KWA AJILI YANGU… Pia NINAMJUA NA NINAMUAMINI YESU AMBAYE anafundisha watu kuomba WAPEWE MKATE WA KILA SIKU KABLA YA KUOMBA WASAMEHEWE DENI ZAO KAMA WANAVYOSAMEHE WADENI WAO… Ninamuamini YESU AMBAYE DIVAI IKIISHA ANABADILI MAJI KUWA DIVAI NJEMA… Ninamuamini YESU AMBAYE ANAWEZA KUACHA KUHUBIRI NA KUCHUKUA SAMAKI WAWILI NA MIKATE MITANO NA KUIONGEZA ILI ILIWE NA WATU WANAUME ELFU TANO NA WANAWAKE NA WATOTO MAELFU MENGI AMBAO HAWAKUTAJWA IDADI YAO… Ninamuamini YESU AMBAYE ANAJALI WATU WAKE WALIPE KODI HATA KAMA ITABIDI ITOKE KWENYE MDOMO WA SAMAKI… Ninamuamini YESU AMBAYE ALIPOFUFUKA AKAJA ZIWANI WALIPOKUWA WAKIVUA AKINA PETRO, WALIPOKUJA ALIPO WALIKUTA TAYARI ANA SAMAKI WA KUOKWA AMBAO HAKWENDA KUWAVUA… NINAMWAMINI YESU AMBAYE ANAJUA NINA MAHITAJI YA KIFEDHA, KIUCHUMI NA ANATAKA KUYAMALIZA… ANAJUA NIKO DUNIANI NA NAPASWA NIPATE KILA NINACHOKIHITAJI WAKATI NAMSUBIRI ANIPELEKE KWENYE MAKAZI YAKE ANAYONIANDALIA NYUMBANI KWA BABA YAKE… YESU NINAYEMUAMINI hayuko kwa ajili ya kunipeleka mbinguni tu, Yupo pia kuhakikisha NATEMBEA NURUNI KWENYE UCHUMI NA FEDHA NA MAHITAJI YANGU YOTE HAPA DUNIANI… Mbinguni nakwenda maana ni nyumbani kwa watakatifu tulionunuliwa kwa DAMU YA YESU… LAKINI SIKO TAYARI KUONJA UMASIKINI NA HALI NGUMU AMBAYO NI KINYUME NA UTAJIRI ALIONAO BABA YANGU WA MBINGUNI… Yesu asiyebadilika, anayezidisha mikate na samaki, anayebadili maji kuwa divai, anayeagiza punda ambao si wake kama wake vile, HUYU NDO YESU WA KWANGU…Sitaki kujua kuhusu Yesu wa wengine”
(Zaburi 23:1-2,5, Wafilipi 4:19, Zaburi 34:10, Isaya 58:11).

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: